mabantu tumetoboa şarkı sözleri
Mh!!!
Si wanapenda Kubang
(Kumaanisha nini ? )
Eeh! Eeh! Eeh! Eeh!
Let’s go
Tumevuka pasi na mashaka
Tumesimama coz tulishakaa
(for the name )
Kwa jina la Baba eeh!!
(kwa jina la Baba )
Mikiki mikiki kuluka ka
weka uku weka hapa ( coz )
Kwa jina la Baba
for the name
(kwa jina la Baba )
Coz walisema
wakasema
hatutoboa mwezi siku wala masaa
Nasi tukasema
Tukasema
Tunaye mwenyezi jembe baba la baba
Ona sasa
Tumetoboa!!! Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!!
Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!! tobo
Tumetoboa!!! Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!!
Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!! tobo
Oya hallelujah (Ameen !! )
Tushalipa kodi
Waliomba tulale na njaa
Wakaamka tumeshiba
Coz tuna MUNGU sio mwanadam
Tukimuamini yeye hawezi kutuacha
Coz walisema (sema…!!! )
wakasema
hatutoboa mwezi siku wala masaa
Nasi tukasema
Tukasema
Tunaye mwenyezi jembe baba la baba
Tumevuka pasi na mashaka
Tumesimama coz tulishakaa
Kwa jina la Baba eeh!!
(kwa jina la Baba )
Mikiki mikiki kuluka ka
weka uku weka hapa coz
Kwa jina la Baba
(kwa jina la Baba
Tumetoboa!!! Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!!
Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!! tobo
Tumetoboa!!! Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!!
Tumetoboa !!! Tumetoboa !!!Tumetoboa !!! tobo
Autro
Eeh! Eeh! Eeh! Eeh! Eeh! Eeh!