mabantu tushaachana şarkı sözleri
Tushaachana tunakumbushiama tu (si wanapenda kubang)
Tushaachana
(Wantaramela wansegejuu) tunakumbushiana tu
Si tushaachana ( Oya si tushaachana ) tunakumbushiana tu
Tushaachana (tushaachana)
Tunakumbushiana tu (okay )
Si Tushaachana si Tushaachana
(zamani Uko )
tushaachana
Tukiwa na ugwadu
tunakumbushiana tu
Verse 1
***
Kisiri Siri tunatafutana tukijisikia
kuna chimbo letu Uko la kujichimbia ukikuta kwa phone ananipgia
Ujue kaumisi mguu wa mtoto a.k.a Ngamia
Tunapasha kipolo kwa kujificha
Coz awamgusi pale ninapomshika
Oya!! Ex anuniwi utadharirika
Kama unajua kununa yanunie maisha
x anuniwi bhana
weeh!! Oya Si Tushaachana ila tunakumbushiana tu
Yes!! Si Tushaachana ila tunakumbushiana tu (Kumaanisha nini ? )
Si tushaachana ( Oya si tushaachana ) tunakumbushiana tu
Tushaachana (tushaachana)
Tunakumbushiana tu (okay
Si Tushaachana si Tushaachana
(zamani Uko )
tushaachana
Tukiwa na ugwadu
tunakumbushiana tu
Yooh! Ex akinimis (na Mimi nammis)
Ex akinitaka (na Mimi namtaka )
Ex akiniita sasa kwanini nisiende
Ex akiniomba sasa kwanini nisimpe
Oyaah!!!
Tunapasha kipolo kwa kujificha
Coz awamgusi pale ninapomshika
Oya!! Ex anuniwi utadharirika
Kama unajua kununa yanunie maisha
(Kula chuma icho kivumbi leo )
Oya Si Tushaachana ila tunakumbushiana tu
Yes!! Si Tushaachana ila tunakumbushiana tu
Si tushaachana ( Oya si tushaachana ) tunakumbushiana tu
Tushaachana (tushaachana)
Tunakumbushiana tu (okay
Si Tushaachana si Tushaachana
(zamani Uko )
tushaachana
Tukiwa na ugwadu
tunakumbushiana tu
Yooh! Ex akinimis (na Mimi nammis)
Ex akinitaka (na Mimi namtaka )
Ex akiniita sasa kwanini nisiende
Ex akiniomba sasa kwanini nisimpe

