mabantu utotoni şarkı sözleri

Eeh! (chiby) chiby Nipe solo Mama umeweza bila bughudha videmu vya sinza tabata vyanini nishapunguza Wewe ndo umefanya me nimsahau X ooh!! I’m ready to supposed for your case oh! For your case ooh!! your case ooh!!! Aah! Aah!! Hivi mama wewe umeniloga (ooh! Mama weeeh!!) Mana me naona umeniweza (Kumaanisha nini? ) Mama wewe umeniloga Mana me nazidi kunawili najihisi nimerudi utoto A,e,I,o,u umenirudisha utotoni ( A,e,I,o,u ) Najihisi mtoto ( A,e,I,o,u ) Umenirudisha utotoni ( A,e,I,o,u (Najiona mtoto ) Mama mapenzi mwenzako yalinitesa Yalinikosesha usingizi kutwa nikawa nakesha Moyo ulishachoka kuteseka Umekuja umeituliza pressure wewe Eeh! Wewe Eeh! Eeh! Eeh! Eeh! Eeh! Hivi mama wewe umeniloga (ooh! Mama weeeh!!) Mana me naona umeniweza Mama wewe umeniloga Mana me nazidi kunawili najihisi nimerudi utoto A,e,I,o,u umenirudisha utotoni ( A,e,I,o,u ) Najihisi mtoto ( A,e,I,o,u ) Umenirudisha utotoni ( A,e,I,o,u (Najiona mtoto )
Sanatçı: mabantu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:34
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
mabantu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı