magaa kondele şarkı sözleri

Baby ing'eyo kaka Aheri Bi ing"eye kaka Aheri Baby ing'eyo kaka Aheri Bi ing"eye kaka Aheri Umenifanya mimi Kama ngotuere ( Aawii Aaweeii ) Na mi mujanja kutoka kule Kondele ( Aawii Aaweeii ) Mapenzi yangu kwako milele ( Le le le lee ) Nakupa haki yako teke teke ( Teke Teke Ahaa ) Aa haa aa Ona vile unafanya najifanya mbele ya watu baby,Oo Ona vile unafanya na spend my money, Aa Ona sasa wenye wivu wana, wanazua eh! Na hivo ndivo mi napendanga Aa yaya, Umenikoroga akili sana Ma Saa mbaya, Ni saa ngapi ntatoka kazini oyoyo Unikumbatie Mapenzi nikupatie Uniandalie Na bazenga ni kuangalie Umenifanya mimi Kama ngotuere ( Aawii Aaweeii ) Na mi mujanja kutoka kule Kondele ( Aawii Aaweeii ) Mapenzi yangu kwako milele ( Le le le lee ) Nakupa haki yako teke teke ( Teke Teke Ahaa ) Aa haa aa Kwangu ni jela Sitoki nyumba walai Wife anichunga naipendanga Na ni Kama ndumba Ameniteka Ni wangu maradhi Nauguanga Aa yaya, Umenikoroga akili sana Ma Saa mbaya Ni saa ngapi ntatoka kazini oyoyo Unikumbatie Mapenzi nikupatie Uniandalie Na bazenga ni kuangalie ooh Umenifanya mimi Kama ngotuere ( Aawii Aaweeii ) Na mi mujanja kutoka kule Kondele ( Aawii Aaweeii ) Mapenzi yangu kwako milele ( Le le le lee ) Nakupa haki yako teke teke ( Teke Teke Ahaa ) Aa haa aa Baby ing'eyo kaka Aheri Bi ing'eye kaka Aheri Baby ing'eyo kaka Aheri Bi ing'eye kaka Aheri Umenifanya mimi Kama ngotuere ( Aawii Aaweeii ) Na mi mujanja kutoka kule Kondele ( Aawii Aaweeii ) Mapenzi yangu kwako milele ( Le le le lee ) Nakupa haki yako teke teke ( Teke Teke Ahaa ) Aa haa aa ( Aawii Aaweeii ) ( Aawii Aaweeii ) ( Le le le leee ) ( Teke Teke Ahaa! )
Sanatçı: Magaa
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:12
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Magaa hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı