maganga kama mbaya ni mbaya şarkı sözleri

Kama Mbaya ni mbaya nasaka ganji nifike ulaya Hustle haitakangi haya Kama ni janta naichapa vibaya Cheki me ni live wire shika gathee uchomeke na faya Kukafunga ndio desire alafu machedda ni kuziacquire Me narhyme ka daily Kama nonini na sina shillingi Lakini nafeel amazing haki ni yangu na sio ya wizi Journey sio siku mbili wangapi waliacha juu sio rahisi Tulia buda tu kiasi tukusahau ka we ni kamisi Me nasakanya mathao kadhaa brown ka ugali ya wimbi Me naskia ubao na si ya kiroma ni kuwa tajiri Ukweli haufichiki uchi ni kama upepo ukiwa kwa nduthi Mbele wanaona vumbi nikiwabully na me ni wa juzi Ati dunia ni umbo yaani ni circle na life ni fumbo Kila mtu anaskanya yake kidogo na pia ya tumbo Saka share kwa meza ama utabaki umeosha vyombo I mean saka ma chedda ama utabaki umekula za ovyo Maswali najiuliza ni lini na mimi nitafika mitambo Anxiety inanimaliza ni lini na mimi nitafika ng'ambo Kitu dunia imenifunza mother nature ndio mama wa kambo So daily me najituma kusaka hio bug ndio me nisifumble Kama Mbaya ni mbaya nasaka ganji nifike ulaya Hustle haitakangi haya Kama ni janta naichapa vibaya Cheki me ni live wire shika gathee uchomeke na faya Kukafunga ndio desire alafu machedda ni kuziacquire Kutafuta greener pastures Kuzisaka kila mwaka Decision zinakuwa smarter Na mimi nazidi kuwaka Me sipendagi ma drama Me sitafuti lawama Nataka hio bread haraka Na kama ni butter nitapaka Perfect picture bila caption Runda kushika ka mansion Na grind buda sina option Kwa hivyo nani take caution Beat inashika wa mother Pia inabamba wa baba Hii ni ya wale vijana Huhustle usiku mchana Kama Mbaya ni mbaya nasaka ganji nifike ulaya Hustle haitakangi haya Kama ni janta naichapa vibaya Cheki me ni live wire shika gathee uchomeke na faya Kukafunga ndio desire alafu machedda ni kuziacquire
Sanatçı: Maganga
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:39
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Maganga hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı