M.V.I şarkı sözleri
Verse 1
Tafuta doh ujibambe
uwache hate na mafala wajibambe
nakupa flow leta noti na katambe,
eh, Nyota yangu huwezi zima nina backup,
walitangulia kufika nika catch up,
Mii ni simple but trendy,
Ufala tu ndio spendi,
niliskia Eastlando is not a holly hood
Ni mafe kaa movie za holywood
nawaroga kaa movie za nollywood
na pull crowds kaa ruto, i ma very good,
Tunasaka on a monday,
tunasaka on a tuesday,
tunasaka yani Everyday.
Chorus
Ni hard work Sio Magic
Ni hard work Sio Magic
Ni hard work Sio Magic
Ni hard work
Ni hard work
Ni hard work Sio Magic
Verse 2
Lyrically, nakupa methodology
Logically, Amka ndoto oh my G
That's the only way tutajenga colony,
locally, na pia kule oversees,
hustling ndio masterkey, ya poverty
Tafuta doh ujibambe
acha wajigambe
Border tunavuka
hizi vybes ni mizuka
hater akipayuka
mpige tu na aluta
usikam na wasupa
hapa ni kazi super
ukisleep on your dreams
ukiwatch p0rn kwa crib
mii nawork on my dreams ndio kesho nilale kwa mansion
bridge
Tafuta doh ujibambe
Uwache hate na mafala wajigambe
nakupa flow leta noti na katambe
bila kiki hawaskiki hawana funbase
Chorus
Usinipe motivation kama unafake it
na vacation usiende kama hujamake it
usinipe pressure na hizo photos za insta
photos wako winster
hotcakes kwa tinder
wapate kwa vibanda locals na njiva
na kwa net ni madiva
Piga hustle katajipa,
ujulikane kaa madiba
Leo niweke pending
Kesho niko trending
Najua hiyo hupendi,
nikiwa na vitu trendy
Leo niko Kenya na reason
Kesho niko TZ napiss on
Masimp bila reason
virandom
Bridge
Chorus