nafsi huru zoza şarkı sözleri
Zoza Zoza Tunazoza x2
Zoza Zoza Na Tuzoze
Zoza mpaka tuna osa
Zoza Zoza Tunazoza x2
Zoza Zoza Na Tuzoze
Zoza mpaka tuna osa
Rude bouy ting dis a rude buoy ting
ukiona umekua karibu kwa ring
Mcee nawakalisha kama Mohamed Ali
Fly kama butterfly sting like a bee
Bad bouy ting yes a bad buoy ting
ukiona umekua karibu kwa ring
Mcee nawakalisha kama Mohamed Ali
Fly kama butterfly sting like a bee BOOM
Zoza Zoza Tunazoza
Zoza Zoza Tunazoza
Zoza Zoza Na Tuzoze
Zoza mpaka tuna osa X2
Wanadata kwetu mambo swadakta
wakiketi wanawaza vipi watageuza karata
wakati wanapoteza sana wakitufuata fuata
Mambo haya makubwa yanaelea ju yameundwa
mchongo ulikwaliwa ukachongwa
hamna chao walichoombwa
sana wanashangaa kuona meli mbali ilivyosonga
walibaki bandarini wanangoja ndege
Shenz type hawaamini tushaua kenge
Twawajua wana gere upendo kwao hakuna kwere
twaishi ka vile Nyerere sote tukamate zare
Hii hujui siri ya utajiri nakwambia nikujiajiri
kitumwa unafkiri zisahau level hizi
Ni muhimu kuwakumbusha
Skio haliezi pita kichwa
Unapokaa unafaa kukumbuka
haya mambo makubwa kubwa
Zoza Zoza Tunazoza
Zoza Zoza Tunazoza
Zoza Zoza Na Tuzoze
Zoza mpaka tuna osa x2
Rude bouy ting dis a rude buoy ting
ukiona umekua karibu kwa ring
Mcee nawakalisha kama Mohamed Ali
Fly kama butterfly sting like a bee
waoga waoga wanaogopa
Wajinga Jinga wanaropoka
Mi natengeza Chedda naomoka
huku mateja wanazeeka wakimoka
ua nacheza Kushinda nilikataa kupinda
Dau linapanda nikibadili calendar
Si fwatani na Madanda utanipata na Ananda
Love kwa madada sina chuki na mabredda
Mbinde kawaida na sipotezi rada
Man a born Leader si mtu wa kawaida
I N I de Don Dada si mtu wa kawaida
Godamn

