naipa karogwa şarkı sözleri
Usiku unapita bila goodnight
Massage unazotuma hajibu kwa wakati
Whatsapp ndio usiseme ana ku blue tick
Usihangaike nae washa mroga
Anayekupa furaha anakumwaga machozi
Hupati muda nae yupo busy na kazi
Yani unajipendekeza ila yeye hawazi
Chunga usije kufa bure
Na usijiumize sana
Maana hakuna u busy kama anakupenda sana
Ila muda nawe hana mbona simu yake Inatumikaga sana
Anajikuta malaika hakosei
Na unapo lalamika haongei
Yaani unapata shika hutoboi
Yeyeeee walisha mroga
Huyo sio wako tena washamroga
Yeyeeeeeeh washa mroga
Huyo sio wako tena washamroga
Sio wako tena washa mroga
Washa mroga
Washamroga
Washa mroga
Washa mroga
Usiforce maji kupanda mlima zinakuhasiri gambe
Usilizimishe kulima juu ya mawe utaliumiza jembe
Halafu ni mwingi wa ku complain
Mtafuta sababu kuchunguza zako simu
Yaani mwingi wa hasira.
Mwepesi wa kudhila anakunyima rahaaaa
Kwani kipi kigumu kusema No
Huoni unajipa sumu utakufa ohhhh
Tufanye imetosha ushapata somo
Ohhhh anhaaaa mapenzi konyo
Anajikuta malaika hakosei
Na unapo lalamika haongei
Yaani unapata shika hutoboi
Yeyeeee walisha mroga
Huyo sio wako tena washamroga
Yeyeeeeeeh washa mroga
Huyo sio wako tena washamroga
Sio wako tena washa mroga
Washa mroga
Washamroga
Washa mroga
Washa mroga