naipa tulisha achana şarkı sözleri

Tulululululululuuuui Ushafuta namba yangu Nami nisha futa yako Usha delete picha zangu Nami nisha futa zakooo Tena nacho shukuru Moyo wangu ukitema kitu Kukirudisha dhambiii Mhhhhh Usije waza kuna siku utakuja weka kambi Maana Kwako nilijipenyeza kibahati mbaya Usijikute mzuri mavazi yameficha ubaya ohhhhhh Na tena story za kupost picha Unanitag ziishie leoo Mbona simple Si unitoe kichwani mwako Mbona mimi sina shobo Mimi nawe Tulisha Achana... Tulisha Achana... Tulisha Achana... Tulisha Achana...
Sanatçı: Naipa
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:28
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Naipa hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı