n.j music kifaa (feat. talia rashi) şarkı sözleri

Usikuwe wa kuniacha kwa mataa Mbele nyuma unajua we kifaa Mi na wewe kuna vile inafaa My heart is racing Na ni wewe unafanya Usikuwe wa kuniacha kwa mataa Mbele nyuma unajua we kifaa Mi na wewe kuna vile inafaa My heart is racing Na ni wewe unafanya I've been wondering Kama uko game twende Game twende Don't know this feeling But najua am ready, am ready Kwa mtaa wanasema we ni player At the moment I don't think ninacare First of all ninakuanga mtu skeptic Mambo yao mengi Mi nafeel ni hectic Baaaby Imma keep this simple For a minute there Girl, you got me simping Mi ni team player Am a keeper Nitakulinda So you got no use for tinder I got the same feeling Yapita love ya shilling If you ready then am ready I got the same feeling Yapita love ya shilling If you ready then am ready If you ready then am ready Usikuwe wa kuniacha kwa mataa Mbele nyuma unajua we kifaa Mi na wewe kuna vile inafaa My heart is racing Na ni wewe unafanya Love making Soul shaking Heart breaking Yeah eh eh eh Love making Soul shaking Heart breaking Wanasema mi player Are you sure they don't mean FIFA Attention yangu mi sitawapea We ni mhot wanipa fever Na uko on demand Kama tao, kuku na njiva Na roho ikikataa Waeza nipenda ata na Liver Homeground aaaaaaaah Wanajua nina kifaa Na ni dem ako na heshima Dem hawezi kunipima Am assured kama bima Am in love with this feeling Sijai hisi hivi awali Sidhani hii ni ajali She's safe in my hands Ukiuliza kama Atwoli Am the one she loves Na ukipenda tutamarry She's safe in my hands Ukiuliza kama Atwoli Am the one she loves Na ukipenda tutamarry Usikuwe wa kuniacha kwa mataa Mbele nyuma unajua we kifaa Mi na wewe kuna vile inafaa My heart is racing Na ni wewe unafanya Usikuwe wa kuniacha kwa mataa Mbele nyuma unajua we kifaa Mi na wewe kuna vile inafaa My heart is racing na ni wewe unafanya Usiniache kwa mataa Mbele nyuma we kifaa Mi na wewe inafaa Usiniache kwa mataa Mbele nyuma we kifaa Mi na wewe inafaa Usiniache kwa mataa Mbele nyuma we kifaa Mi na wewe inafaa
Sanatçı: N.J Music
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:46
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
N.J Music hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı