o'nkosi productions presents -o'nkosi e vile vile by chappies davinchi şarkı sözleri

Acha watu wapime watujue real niggerz yeah Acha waje mtaani watuone tunavyo ishi yeah Cool kama barafu nimetulia kwenye fridge yeah Wanataka kwenda dark tushavuka hio bridge yeah Acha watu wapime watujue real niggerz yeah Acha waje mtaani watuone tunavyo ishi yeah Cool kama barafu nimetulia kwenye fridge yeah Wanataka kwenda dark tushavuka hio bridge yeah Story za mtaani ndo wahuni tuna prich yeah Wahuni hatuna kazi tunaishi tu kibishi yeah Kama ni mvivu kutusua sio rahisi yeah Watu kama wapole ila ndani ni mabeast yeah Jinsi tunavyo sali wanaroga tena vile vile Wahuni kazi zetu zinabaki kuwa vile vile Leo tupo fresh Kesho tupo vile vile Kidogo tunacho pata tuna spend tena zaidi ya kile Wahuni wanataka pima nawapa kilo yani zile zile Unasema unamachizi mi mwenyewe nao vile vile Sio ngumi sio silaha zinawatoka tena vile vile Yakuza kwa TV tuna wa copy yani vile vile Acha watu wapime watujue real niggerz yeah Acha waje mtaani watuone tunavyo ishi yeah Cool kama barafu nimetulia kwenye fridge yeah Wanataka kwenda dark tushavuka hio bridge yeah Acha watu wapime watujue real niggerz yeah Acha waje mtaani watuone tunavyo ishi yeah Cool kama barafu nimetulia kwenye fridge yeah
Sanatçı: O'Nkosi Productions Presents -O'Nkosi E
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 1:58
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
O'Nkosi Productions Presents -O'Nkosi E hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı