p fire i miss you şarkı sözleri
Ata kama kosa kosa
Inatosha tosha
Ushanipa kitu gani
Unanichanganya unanichanganya sanaa
Upo mahali gani
Ndo swali nalo jiuliza sana
Nahisi kizani
Naumia so utani
Hoi taabani
Huruma masikini
Bila shaka
unamalengo yako
Vitu unavyofanya babe ni vituko
Umebeba vitu ndani mpaka jiko
Ila hivyo unavyofanya kwetu mwiko
Bila shaka
unamalengo yako
Vitu unavyofanya babe ni vituko
Umebeba vitu ndani mpaka jiko
Ila hivyo unavyofanya kwetu mwiko
Hata kama kosa kosa
Basi inatosha tosha
Bado haujalidhika zika
Bado nina kuita ita
Sometimes i miss you uh
Babe i miss you uh
Sometime i miss you uh
Babe i miss you uh
Sometimes i miss you uh
Babe i miss you uh
Sometime i miss you uh
Babe i miss you uh
One more time
Kweli siko fine
Nimekumc taabani
Sure i feel so pain
Life limekua tata
Huzuni nayo imeniganda
Ona navyojikongoja
Njoo ata mala moja
Ona jinsi Navyosota mama
Sota kama
Cjui lini hizi drama
Lini drama
Turudie zama
Die zama
Turudie zama
Die zama
Hata kama kosa kosa
Basi inatosha tosha
Bado haujalidhika zika
Bado nina kuita ita
Sometimes i miss you uh
Babe i miss you uh
Sometime i miss you uh
Babe i miss you uh
Sometimes i miss you uh
Babe i miss you uh
Sometime i miss you uh
Babe i miss you uh