p-tah back then şarkı sözleri

Eee ushaicheki vile uligrow up Yaani unakumbuka amkua na kakitu But uli have fun Kila kitu ilikua ina bamba, haikuwa lazima ganji Mabeste ulikua nao then uko nao sahii Dem Days mpango ya sunday ilikua one fifty Jam session f2 mlangoni seventy To and fro tao, VAKO na kukunja sura Tapi repping furu still Shot ya moody kwa mama pima twenty litre ya Jik, one ten Hii ni before pulas, hii ni before naps Steam ya nyuki ilikua down, stiiiiill Showtime ilikua ka half time Kutaonisha mafala kwa line na ku recharge Steaaaaam On stage,one 2 moja, mlangoni, bouncer bubu Redsan kwa mic, Njeri ame simama kwa meza Crossline kutoka kwa bubu utadhani WWF Jackie anatega akidingisha digida ka kioo Aleki maji-imemzindia unga, ma mwaura kwa choo Daaaaaaamn, ma stains kwa MA thirteen juu kwa juu Itabidi toothbrush mtaani jioni Back left kwa straight jeans ya black Maiirungi rangi ya maini, na njugu za aparrr Kwa socks kidunkulu kikimarinate for later Ting badi Malo kwa hizi ten thousand watts Mikono juu ni ka stick up, PUT YOUR HANDS UP Vidole kadhaa walking, pori kadhaa missing Maboys wa jamu wako charged up kwa drama Wameclock ule conda alipeka wheels kamu last week Niliskia kevo alichapwa manyagwenda na kamjesh Leo ni leo, msema kesho ni ngwata Francis Ma randevous na Osa na Ombosh blessed maizaaa Yea back then Nakumbuka back then (Back in the days) Kuishi maisha pande zote mbili mdosi au maskini Pata potea pokeah na kusherekea bila care Mausanga za gwoko madika tembo na warembo Nakumbuka back then, eee back in the days Kutoka eastlando to east London hatujawai kosa mipango Halfs mpaka ma puffs through our ups and downs Kila wikendi ni chrisi ya kupunguza dhiki na dhambi Ten years later msanii amedandia dush Amevuka border,na new weather Heart bado ya kimauru Mm East Lando Repping North London stiiiiiiill Bado maisha pesa pombe na anasa Canning town club afriqueue Hii ni before thatched House Enzi za Simpsons na Mailbu Just right after Lincolns na Meantime Entry 10 Bob, Levi kwa decks Chupa za JD mbili na choma moja Actually ngoja make it mbili Permy amawasili na mtu mbili Mdreddy ametext amaanika ya tumbili kwa bendy bus bila oyster Inspector wako area, later link up na Saimo na Kitale Club 19 Ubrisk kwa rotation, all night long kama kawa Kwa nango's Otis yuko charr, wamekacha taxi Mablunder zakila siku, taxi ilikua kindeeee Amasere ticko za game ya arsenal kwa mkoba Itabidi tumalizie club Malibu tuchapiane na oga Ama tuenda desire kucheki K-Diplo na Nannoma Unajua collo kwa decks itakua noma Ama partner in crime Shasha the one na Dubwise kumalizia na reggae Big up Cymo na sparks tunawacheki M1 kwa tuk tuk ya Kawa, Markus kwa wheels Davie ame bleki ka spill beer kwa back seat Tutafika aje mtaani jo, vutia Vosti na Roba Olipo ashakacha, kaa rada na bang'a wako area
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:13
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı