p-tah back to the future şarkı sözleri

Kunta Official beats Tapi Truce label yes Tapi aka Mr rhymesence Call me your highness Been underground since mzizi Wakicheza Nazizi Mama, mama, nataka kua rapper Hio enzi tulikuwa constantly kwa corner Sahii mi hii kazi ndio na chapa Na sio about chapaa Na tumia my vocals kuenza za ukoo fulani Ukijielewa wewe ni nani Twaweza tambaa ka ukoo fulani Ctrl Alt Delete Nikitumia usanii kukusihii Ustudy the programming, ufanisi Ukishaondoa ubinafsi twarudi kwa ubuntu When Afrikan Spirituality ilikua operating system Sahii religion bila spirit ndio OS Democracia yatumika kuiba currency Currently wondering mbona body ina-need okoa ORS? Umekua hoodwinked mental tricks at play Uwezi ji save hata na vest When you don't know your destination Any road will take you there Shout out Dr John Henrik Clark In one lecture nilibadili yangu mental Believe in what you wanna believe in But before dini, make sure unajiamini Remembering wali-justify enslaving you na dini While the in real sense to them ulikua to madini Yaani black gold Ni coincidence walio at the bottom ndio hawana yao dini? Lakini none comes close kwa haumini While zao mwili za wash off kwa shores What's the cause ya hizi wars wana wager While putting mother earth in danger If you know you could, then you should move better Be a trendsetter, show them how to do it better Wakituita ma-begger Bega kwa bega twa unite tuki move forward While they stand ku empty coffers Leaving us living on earth na za kukopa With a dry cry tunadai Ma visionary walio na misummary Za kubuild the next hundred years I can't reincanate to another karne back to this tears As you cheers kumbuka kinenge ina pierce ma new born Waki make a new phone For your people please tripple their net worth Ndio wakati kwa watch Siku wawacha wakikaa na mashaka Big up K Shaka With mine spear na saka ka king Shaka If you can't feed your people you cant lead your people Its that simple Komesha principal Tuwache kuloose interest kwa meza Yote twaweza, cheki mu-shaina vile ana shine Now double take kandarasi Before you sign away future Na clause zimefichwa
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:48
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı