p-tah barz on barz şarkı sözleri

Maji ya la Costa ndiposa ni tulize mwili Expanding mind at tha same damn time  Janta ya mhindi ya feed familia mahindi  Ndo wasi deady njaa ama UKEDI nawapa medi Ares hii  hapa wasi stress bomba na press ignition Mission  bado kukafunga, sheng ndio diction Labour of love ku-deliver vitu conscious  KA X after Cassius Clay, kila beat na spray P-Tah was Furu, eradicate confusion Difuse situation, usitishwe hii ni fusion Ligi ni soo 5 8 kwa top piga tizi jo Kuteleza kwa mistari kula ndizi jo Beat ni moto but wa u saying Bars on bars kama Abbas Kubaff Waku mubble mko ina trouble Si mystery vile sound ka history Najua unataka healing Trust me najua hii feeling  nimekua ill for too long Bila lab coat  positivity na inject Sija kuitisha  kitu niki hope uta ingest Whatever na spill trust me Ita leta meal kwa table Whatever ur position, nataka ujue uko able They Cain stop you and  to see ur elevation  Be the reason I be spraying  With no gain bila pain Beat ni moto but what u saying Bars on bars kama Abbas Kubaff Waku mubble mko in trouble Si mystery vile sound ka history Bila silaha kwa mkono nili fikia ndoto Ma bishano tuli solve na gwoko  Ubongo na baraka za wakuu Getting lifted ka sina tabu  Uwezo kwa mistari fuego ka Baku Yanarrrr Doggg Respect art perfect craft  Na report kila siku kwa station  Foundation ya family na bidii ya mchwa Elavation ita follow   Beat ni moto but what u saying Bars on bars kama Abbas Kubaff Waku mubble mko in trouble Si mystery vile sound ka history Si mystery vile sound ka history Rhyme slayer flow setter hard Ka heavy metal Ukiumia vumilia ama lia ubonge na usonge Na hiyo ni maandeleo ni endelee au nisi endelee  Kiu kwa Stream kama Kamba Kua Paraguay Creativity ni hard modo, lazima research IP yako, si all things for a quick bark Set record straight  kwa tracks bila racks au statues  Athletes ku-switch allegence ni hard ku judge Kila kitu purge bila grudge kila kitu cash hata kiondo japan At first ni fans then ni stans next wana patent zako Itabidi u think a bit harder ku stay on track  Kiasi lazima bragi, hapana raggi doll Maneno mengi kwa rangi Soul - searching kufika hii zone  Kuniona buda lazima drone To me hii game ni ka give dog a bone A few months ago nili kua lame  Sahii word-porn king kwa thrown Beat ni moto but what u saying Bars on bars kama Abbas Kubaff Waku mubble mko in trouble Si mystery vile sound ka history Jemadari kwa methali  Reaction chemekali  Tosha nisha wadhii kama  ha ha ha Ingekuwa tuu simple  Mind sharp no mihadarati uliza Stevo Boy
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:17
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı