p-tah don't wanna die şarkı sözleri

Jamii inalia... Watoto wanalia Vijana wanalia I dont wanna die Please have mercy Covid -19 world crisis, wondering where Christ is The epi-crisis ina demand we come together as one Ba ka lysis corruption ina dictate how our nations run Uta kula aje ya donations bana, yes bana All Kenyan lives matter, usha pata Hii pesa uta wacha hapa hapa, no lie  Cheki Ugoro ya Tutankhamun pale pale  Mbona Kisum haiwezi raise ka Axum... na iko next na nile Hizi line si sum   Just trying to elevate minds Our land Our People ni wa excellent But our excellences mna tuangusha Eee Muesh Long time no see, miaka ka tano hivi Last time tuli onana, ili kua ndizi au machungwa Na machungu na look back  but na jua Hai kua ku penda kwako ku promote ukabila  Na ku danganya vijana Najua ili ku cost a lot Jamii inalia Watoto wanalia Vijana wanalia I dont wanna die Please have mercy Pole jo wa lisema hauwezi enda hosi majuu Itakua aje, PPE na dawa zote zi shauzwa Siwezi imagine watoi hawa taenda ku further studies overseas Wife hataki kuenda shopping westi, what the cheese  Ati ame zoea ku buy za Dubai? Kweli chips ni viazi Jo, najua life yako ni hard  Niki ona uki lala works, na understand Wana sema uko overpaid hawa oni uko na bills to pay  Open checkbook mbona usijilipe vile unataka Carpark lazima ijae magari, hii si mug'unda Hawa wezi understand lazima champagne ku help digestion Bro mfalme alisema wajinga sisi, I agree you agree Juu ya hızı degree tunarecycle the same Ku expect different results ni pure madness Umaskini inakupeleka rat-race yeah Tapi toka furu Jamii inalia Watoto wanalia Vijana  wanalia I dont wanna die I just wanna live Jamii inalia Watoto wanalia Vijana wanalia I dont wanna die Please have mercy
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:52
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı