p-tah ero soba (lomo) şarkı sözleri

Najua wataipenda lakini hii ni competition Juu ya beat ya ares66, yaani biggest beats Africa Tunacome ku arrest hizi, minds yaani kuchange mentality Yea naipenda vile inagonga, unaskia ndawo waki bonga 42 tribes, plus, na bado tunaiga a foreign ndio tukue wavy Naskia ati drill, ati trap, ati shrap na maybe ni grime Buda, karibu ni ache Rap Sahii wapa clap niki wapa map Inafaa kukua crime kuwacha hii heritage  E go to waste Nigga stand up, piga kifua, wa show we ni the best Shigga Ingia miji kenda checki chakacha sitaki kuskia za ku twerk ama ku weng Hii ni land ya kings mambo ya photocopy tu wachie printer Hiyo mentally ya kila kitu imported inafaa kua deported Una need ku stand out si ku blend ndio u trend Originality bring back za Nkrumah na za Jomo na Nyerere True independence,  ni independence ya mind, na mfuko Tu wache kuwa laughing stock  tuki take stock Tu jipange, MA youths wa rise up Tu timize utamaduni tueneze uzalendo Vijana wa gengetone zonga kando Wazazi wanabonga fumula tusha badilisha Kama imekuuma, buda simama, hii ni challenge Ni provie vile iyo kitu unafanya ina make sense Achiue, God bless you nili dhani una bonga kumbe ni nonsense Jaribu kuingia studio bila kuchoma karura ama hizo vitu we ukula Hii ni challenge Ero sober ime-bidi nikue sober Ki Buffalo soldier Hii ni ku create movement By October Hii itakua trending Ka ma vedi itawashika Originality si utumwa Asii Ero sober ime-bidi nikue sober Ki Buffalo soldier Kwa table unaleta nini, wapi original Industry mzima nima type beats Tu wache ufala turudi studio Mbona hatupati shows abroad you ask Maybe coz you all sound the same Maybe coz u don't bring anything new to the table Cheki wa Nigeria ama South africa Si Kwaito si Ngom mpaka Mapiano Cheki TZ ama Congo Bongo si yetu Lingala si yetu Reggae si yetu, ma dancehall pia Wapi rap featuring Nyadundo Cheki vile Kanungo ilitesa tabulisha Kangundo Hii ni ku. create legacy Oooo Oya beat yako ni American unaronga na kilami Ukitweng bila sheng how's this song Kenyan Taka taka peleka huko ama come hivi cheki hi tika taka Kumake cash nimuhimu but kitu ya hesh ni legacy Tujaribu kupush culture forward si copy and paste Ka una 16 ama 32 au 64 pata hii beat online drop ya Bars na u tag Ares66 Make hii moment join hii conversation
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:57
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı