p-tah mtaani (feat. igee afrika) şarkı sözleri
Igee
Tapi
P-Mani
Mtaani niko busy juu ya ganji
Mtaani kama chizi niko hustling
Kejani niko easy na jirani
Hii ni life mtaani
Mtaani Niko busy am grinding
Mtaani choche hizi mdagi
Kejani usingizi hunipati
Hii ni life mtaani
Mtaani niko busy juu ya ganji
Mtaani kama chizi niko hustling
Kejani niko easy na jirani
Hii ni life mtaani
Alhamdulilahi niki rauka marengwa
It's a new day na blessing tumejengwa
Na answer call nimvutiwa na Ndegwa
Kuna black biz na Bima imeperembwa
Lingua Franca uku mtaani uwa sheng
Twenty five eight kujituma juu ya weng
Napita machuom what a gwan gotta gang
Ka si catch mat me upanda peng
Lazima kujituma kama ulijipata ghetto
Hanaku kunego lazima uweke effort
Si unajua tunasaka ya Kesho
Dream ya kukafunga Ka Elon ama Bezos
Mind your step ukitembea magic
Don't get twisted ukipatana na gees
Mtaani ni kusoo usitrust hadi arif
Funguka ki Omanyala tuko race na police
Mtaani niko busy juu ya ganji
Mtaani kama chizi niko hustling
Kejani niko easy na jirani
Hii ni life mtaani
Mtaani Niko busy am grinding
Mtaani choche hizi mdagi
Kejani usingizi hunipati
Hii ni life mtaani
Mtaani niko busy juu ya ganji
Mtaani kama chizi niko hustling
Kejani niko easy na jirani
Hii ni life mtaani
London city salamu ni wa gwan,
Niko njiani ama kuambia marif part tu ni soon come
haga bunda ukipenda nyash
tenga ni bags mia bills hizi streets zitakupa thrills
mchuma leng, ma yut wamejipin na skengs
Shash ni food for the rest checki Top Boy
Make sure umeanzia summerhouse
Ukiwa juu ya ma bruskis na ma browskis
Nikiwa darasani mtaani juu ya majani na choke ya dasani
Si ku clock iyo ilikua tu part ya journey
Tuki haribu mali na dhambi hazijuani
Ghetto born na expontial potential ya Juliani
Sahii mind on money for rest na barizi mahali sunny
Take over no capping manz been planning
Truth be told ur top favoutiives wako groupie mode
Juu kwa jukwa nikichapa set niko kwa sofa set
Mans comfy big mug black coffee
Niki clutch mic automatic wathee watii
Vile na carry show, hao ni show come we go
Bila cash carnivore tunageuka ma herbivore
From before, groupies mi ucarry four
Tapi asali ya Mariah Carey on point ka Steph Curry
Baada ya curry goat Makali neat on ice ndio uni nice
Ku get centi na fill septic tank niki drop shit
Upped my commerce kuongeza commas
Si siri my discography ni series
Niki tak kila track naongeza episode
Karibia speaker na turn it up
As I bless this room
Hoody burning till high noon
Kiuno hula hooping ni ya Zaitun
Night school Kama Sutra niki sha msuka
Usiku kayote am road running
Bila network my car tunes ni looney
Ka msosi iko tuna stay civil la sivyo
For my survival my rivals wana pata triple shots from my riffle
My rivals wanapata triple shots
Mtaani niko busy juu ya ganji
Mtaani kama chizi niko hustling
Kejani niko busy na jirani
Hii ni life mtaani, mtaani
Mtaani niko busy im grinding
Ndani choche hizi mdagiii
Kejani usingizi unipati
Hii ni life mtaanii
Mtaani niko busy juu ya ganji
Mtaani kama chizi niko hustling
Kejani niko easy na jirani
Hii ni life mtaani