p-tah my story, pt. 2 şarkı sözleri

Inabidi tu rudi za kale Ayub talk to them Aye, Aye What do you say Aye Aye Rest in power king Buda tumetoka gwaza ilianzia lumush Wazazi waka jikakamua tukaingia furu Just before arrival ya Pajero Wheels ya kwanza ilikua KWK Datsun sunny Life imekua  filled na ma adventure Lesa toka Rabai Road through uhunye to phase uno Ma-acrobatics na Mr obonyo Mr alikua ma mudi Right about now ndio my greatest acrobat Shikoli katuacha Right hand man wa dad pia akatake flight hapo Metropolitan True friendship nililearn toka kwako si vako A few wame kucheza thru the years you remain loyal Mum nakumbuka ukiwa sad juu ya shouting ya Gogo But hivyo hivyo tukaingia umoje Kids wanagrow need bigger space I guess hizi silikua lessons on savings Hapa nikameet Keneddy na Johny, Ben na nzuki walikua ma olders Girl next door ilikua Josi ,right opposite Angie huyu alikua first crush Nakumbuka magondi walikua gundown owanjo karibu na umo One Bullet holes tukichambua hapo katho Tournament za hood tuki rep F gwans H Socrates walikua na Lokure na Okere Nika toka Rabai nikarushwa boarding Kiambere Nika learn about wa Mbeere na Kimere Aye, hii ni life filled with adventures Ningeweza I would live it twice Aye, kuna regrets but tunamake amends Aye I would live it twice Aye Ku maliza primo tukahamia saika next to Koma Hapa nika learn mambo ya mortgage Nika meet Chalo na Junior Msyoks na Brayo pia Adole ilikua inatesa mbaya, tunaingia F2 taharibu  mbaya Hii zone, nilichapwa nyongolo nikitoka oyole kucheki Miako Ingia Seco Form 1 nikabeba sanduku n ikaingia tala high What? Seco na tuna vaa short mr soo wacha mchezo Hapa nika meet Osa na Mwaura Linguististics Etale na watu wa mlango Nzungutu zilikua zinaweza ma outing mako Hii ilikua survival series learning to be a man Talanta ilikua Rugby ask about me Kaigo anaweza kuambia Investment zika pay off tukarudi Furu Chilling na Moriso Harlem pasua za hiltop zilikua top With Suspe on the way nika chorea Tala Enter muhuri aka Texas high Mlure na Ngao walikua legendary R. I. P Keneso na Mlocha Syl lala salama Muusya kuchungulia kwa dirisha time ya preps Buda jipe shugli Hii ilikua system but ilikua anafeel ka family Grades zi kome kijana akapass with flying colours Man what can I say Thank you mum thank you dad
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:00
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı