p-tah ngai ndethye şarkı sözleri

Gaai saidia  Ngai ndethie Nyasae help us Jah save us Gaai saidia Ngai ndethie Nyasae help us Jah save us Vijana wanaumia, kinege wanalia Ma old guard wana pora Ma youth wana angamia Uliskia alichemsha mawe kufeed familia Wakitubembo si  uwavotia wana tuibia Check ya mwalimu haija clear  tangu last year Strike ya doctors every year Tunaongeza pm na dpms Governor senator  mca  - Nani atakuwa Otero Dp ama rais wapi kamero Garbage inatupa, tunaneed kusafisha area Tuuonyeshe akiba, wapi huduma number  Tuna need committee, kucheck  on committees Ero mbona Gaai saidia  Ngai ndethie Nyasae help us Jah save us Gaai saidia Ngai ndethie Nyasae help us Jah save us Fafa karibia uone vile  tithe inakibia Revenrend wana tupeleka bio  Tithe inaenda na maombi haifikii  Jaba haiwiki tuna sukama kila wiki Itabidi ni peleke piki piki ama kuchoma mishikaki Ama niende ukambani kucheza kililimbi Na taa imeisha wimbi Na shukuru jua ikicome Shock ka thriller born sina na pesa sina One man army kwa mbili tatu  Nikwapa Society karudi nne tano League of my own Ka jordan Sita choka kuandika mistari Sababu pia hii ni  riziki Kwa studio si shikiki Nane anabishana na rhyme scheme ka sitter Mutisya anatinga ma fan wana wika  Kumiliki industry juu ya bidii Gaai saidia  Ngai ndethie Nyasae help us Jah save us Gaai saidia Ngai ndethie Nyasae help us Jah save us Ni trap sound sawa Ni ongelee madawa sawa Ni ongelee nonsense, sawa  Kujaribu kuepuka bondaje Dilute my  message  Ndio wa banjuke Hai yaaawa Mayaoni haya wai  Iweke reals, sawa Originality never biting  Kuwaosha na maneno Pictures with my writing Knowledge na ku pay homage Naku save tu punguze pay bill Naku save tu punguze pay bill
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:46
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı