p-tah ni wewe şarkı sözleri

Oh oh oh oh oh Yeah yeah yeah Aa aa P-Mani Oh oh oh oh Msupa umbo lako nipigisha (breki breki) Checking jegi na legi kweli we ni (caki caki) Vile una slay mi siwezi (sleki sleki) Nadai uwe wa meyie tuingie ma-dating dating Skia nikwambia uwe mtu wa miye ehe Skia nikwambia we ndio wa miye ehe Ni wewe, ni wewe ( wewe, wewe) Ndio mi na wania (wania) Oh me, oh my Babie, truly, uko fine Why liee, shape nice Cola bottle, sura fisa Iyo smile, shanikunywa Mamacita, mans shafika Paparazi, piga picha My super lover, mi only galis Siwezi kukupanga Vile una murder kwa hii saga Right to left, as you move it slowly What more can I say Msupa umbo lako nipigisha (breki, breki) Checking jegi na legi kweli we ni (caki, caki) Vile una slay mi siwezi (sleki, sleki) Nadai uwe wa meyie tuingie ma-dating dating Skia nikwambia uwe mtu wa miye ehe Skia nikwambia we ndio wa miye ehe Ni wewe ni wewe (wewe, wewe) Ndio mi na wania (wania) Wacha zi come, wacha zi go Mizigo wana shake wakidai ma beer na ma steak, Wacha zi come tuki stack waki watch wana choke Wacha wa talk wakichoka wata walk Fi mi gals dem Tapi come up wid a new stylee Vile ina stahili While dem man dere pree man PMani Tapi take it to the top Na tutawai stop, ata wakipiga block Tutazidi kuwapa more, kazi kujaza floor Kuwavuta nika tuna spack Wacha zi come Wacha zi go lazima tuta stack Msupa umbo lako nipigisha (breki, breki) Checking jegi na legi kweli we ni (caki, caki) Vile una slay mi siwezi (sleki, sleki) Nadai uwe wa meyie tuingie ma-dating dating Skia nikwambia uwe mtu wa miye ehe Skia nikwambia we ndio wa miye ehe Ni wewe ni wewe (wewe, wewe, wewe) Ndio mi na wania (wania) Ni wewe ndio mi na wania aa Mi na wania aa
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:10
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı