p-tah p-tah wa furu şarkı sözleri

Yeah, Kua sincere since ni come here nime sinzinzia Ni me see talanta missing haki come you see Na wana move funny but hakuna space for clowns Tanga tanga mjini kuuza fanny gizani Na siwezi bagua vile wana fikisha zao mezani Yangu ni crown me u paint words Niku leteee bigger picha get the picture Na wa ligi ndogo waki cheza na crayons, na si kwa ubaya, mayo Mistari zimeoga na kuenda shule kuletea mizani kwa streets Ka M01 sitaki upizani, Ofcoz na cheza na excelerator jua ya hii thrown, see you later Kwa sasa kutafuta majani kwa hii journey bila kupumzika Nanisha rest enough niki tafuna majani na vijana ki wanjani Mpaka sasa wengine wajala uliza wanjala Bila kuitisha sadaka na i-skuma ka injili mpaka mwembe tayari Uko tayari? hii si try zeks, au kajaribus, naenda all in Bila spare ta-iri checki styling vile ina stahili from a ill star Na ku show-case kipawa mi uwa tayari kama paka power Ajab talanta mingi ka miguu za paka ya Agip Hii ni kichana khani, na ina rhyme achee P-tah wa furu Doing what i love and loving what i do Trust me wanapiga nduru mpaka Kamulu Bending words keeping true vile na come through Tapi 58 naiweka true Doing what i love and loving what i do Trust me wanapiga nduru mpaka Kamulu Bending works keeping true vile na come through Yeah, vile na come through Bila drip au madame nisha grip game na si for fame Iron thrown imetosha frame Au wengine lame wana pata flames na usini blame Ka train ya mwisho jioni nili join uko mwisho Na sioni niki flop vile mi u jog na leapfrog Leta nyoko nyoko karate chop Gary vee jab jab right hook wana book Ares na faa beat ya mwomboko Nikue rich ni buy plot mavoko Ama nichapie mavo on the beat Na hizi ni clean bars siwezi ingiza ma Niko kazi bado Nguo ni za soko Na ka viazi siwezi ringia watu mavazi Nani mkali Ooh my gosh is he sending for Khali Zi na fikiri amesema Mwikali Ama ni Jua cali? I think ame sema serikali Wacha pang'a pang'a teka skio Wakinioji utajua mi ni fan wa hawa ma OG Tangu enzi za Kiasi mpaka Yego R.I.P competition Either way na ji trust ka ruff ryder Man a thriller big up Swersyder Mahali nimetoka trust nikisema ni meona kiangazi Elevation ime kua chap chap kwa rap Juu nina key ya ngazi Just as important as making it Ni ku jua ku angalia ganji Na Julikana kama ghandi Bila luku nikipiganua ndugu We julikana ka baddy Juu ya kukula ya ndugu na maduku Ku Own the basics kwa maisha ni necessary Imagine kensalt iwe si ya mkenya Naka we ni janjez unamenya Lowest hanging fruit hapa nikusengenya semenya Badla wa mtreat ka-star vile au u-treat pastor Nganga-na mtaani uki uza bairo ya bic Ukilola pen man ship nika advert ya endorsement Ma vushing jua ya speaker pendos cement kwa heart ya fan Toa koozi tema sanifu bila kamusi ka muki rai Changanya ngeli na erufi baki umezi rai
Sanatçı: P-Tah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:14
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
P-Tah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı