pailot usiondoke şarkı sözleri

Naomba wee unipende Nikupende mpenzi wangu Tena usinitende ili ubaki moyoni mwanguuu Penzi starehe sio vita kugaraishanaa Kutwa kelele yani pilika kuangaishanaaa Vile wee unanijua nikishapendaa naganda kidedee Moyo wangu chukua mi kwako kitetee Usije kwenda mbali mi mwenzako ntaliaa... Aaaah Sina hali hali haliii kwako mnyongee Usije nimwaga chaliiiiiii... Aaaaa Sina hali hali haliii kwako mnyongee Ukiondokaaa ntaumia moyoni mwanguu Usiondokee tupeane mapendo mamaaaa Usiondokeee usisikie ya watu my booo Usiondokeee tupeane mapendo mamaaa.. Usiondokeeee Mamacita, magarita, sinyoraaa, senorita mi nakuita sogeaaa Shepu hata ngozi yako mwororooo, Penzi lisije vunda likawa kiporoo Natamani leo kama sio tomorrow Nikupeleke nyumbani kwa wapogoroo oooh Vile we unanijua nikashapendaaaa naganda kidedee Moyo wangu chukua mi kwako kitetee Usijekwenda mbali mi mwenzako ntaliaa Sina hali hali haliii kwako mnyongee.. Usije nimwaga chaliiiiii... aaaah Sina hali hali haliii kwako mnyongee Mi nasema ntaumia moyoni mwangu...eeeh Usiondokee tupeane mapendo mamaa Usiondokee usisiskie ya watu mamaa Usiondokeee tupeane mapendo mamaa. Usiondokee
Sanatçı: Pailot
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:06
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Pailot hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı