panther 355 gen z şarkı sözleri
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi wanangu
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi Gen z
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi wanangu
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi Gen z
Snichi stay away huwez kufika huku tulipo
Punguza maneno zidisha mkwanja popote Penye malipo
No kidalipo
Palipo mitungi mademu na ganja ndipo tulipo
Turudie tena
Snichi stay away huwez kufika huku tulipo
Punguza maneno zidisha mkwanja popote Penye malipo
No kidalipo
Palipo mitungi mademu na ganja ndipo tulipo
Dondoka na pisi mazee
Usisahau vibunda kwa party unakuja jetee
Lawama usituletee
Bill sio dem sitaki tushee
Mgambo turuke takany'agane
Kama siyo saa nane
Zungusha kati usijibanebane
Mwisho wa party ni pair tuongozane
Sisi ni genz why tutongozane
Drop account fast tumalizane
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi wanangu
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi Gen z
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi wanangu
Hapo vipi hapo hapo hapo vipi Gen z
Unyonge na sisi hatuna undugu kabisa
Daily ni vibe ka kwaya ya kanisa
Show kama hivi tunapagamisa (Gen Z)
Passport inachafuka mavisa (Hapo vipi Gen Z)