Q Chief şarkı sözleri
Intro..
Sweet afro banger
Yogo
Awhaaa
Verse: 1
A man will fall to stand again
A man will fall to stand again
Waliniandama wafitina wakanisakama
Wakiamini nitakata tamaa ni wabaya
Walimwengu waa ni wabayaa
Mungu wangu kaniepusha na wachanja chale
Kina Rajabu Nasibu na wa Moro Tale
Mafanikio yako karibu na still unakosa na ndugu
Wakiskia umepata na kazi wanaomba utoke
patupu
Binadamu sio wabaya pesa ndo chanzo
Ukizikosa shida ukizipata raha zinakutolea mawazo

chorus
Papa God Papa God through maombi you change my life
Papa God Papa God through maombi you change my lifePapa God Papa God through maombi you change my life
Papa God Papa God through maombi you change my life
verse : 2
Roho mbaya matatizo Mungu akipanga imo
Anakupa kwa marengo,anakupa kwa marengo
Hujui muda wala saa tunaishi kwa ridhaa
Nashukuru Mungu kwa subira kwa subira
Kibunda kibunda kikiingia sikaribishi maneno
Nasaka pesa na nguvu zangu staki chawa na hayo mapepo
Binadamu sio wabaya pesa ndo chanzo
Ukizikosa shida ukizipata raha zinakutolea mawazo
Binadam sio wabaya pesa ndo chanzo
Ukizikosa shida ukizipata raha zinakutolea mawazo
Chorus