quafff danger şarkı sözleri

Ai! Ai! Ai! Tragic! Tragic! Tragic! huh! The Quafff Ayo Augusto! Njithi na Njethi wa Ntheng'a kupeana mangigi na ngega hii mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger Njithi na Njethi wa Ntheng'a kupeana mangigi na ngega hii mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger Am ever the leader na sceptor kubarizi na njethi wa ntheng'a As your master tayarisha chamber Kuna kikokorikoo kitachinjwa nipee hivi juu mih ni morio anzenza am ever in hunger stakataa mih nadema kuna kidudu huku chini peremba ni ya balokole ka za papa wemba nampin kwa bed na steppler its only a minute ndo nifike centre amini usiamini ni mama gathenga ni Mali ya mbogi ka safi ni ndeng'a Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter alafu akona haga amebeba kwa picha tu ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu Ofcourse ni Tragic kama ni ndeng'a wali-admit joh mih ndo huwabeba am the most wanted huku mtaani reward iko over matenga my block imejaa tu wamatha wa ploti hawaezi niseti si mih huwachezesha mandichu wamejipin tu na mabundee wanataka kuangusha huyu kijana wa ntheng'a Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter alafu akona haga amebeba kwa picha tu ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter alafu akona haga amebeba kwa picha tu ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu Njithi na Njethi wa Ntheng'a kupeana mangigi na ngega hii mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger Njithi na Njethi wa Ntheng'a kupeana mangigi na ngega hii mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger
Sanatçı: Quafff
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi:
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Quafff hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı