queen blana mtutu (feat. kontawa) şarkı sözleri

Minachekaga tu Mwenzenu nikiingaaga dimbani Kichwa cha chini kinaota nywelwe Demu asiye penda mboga za majani Leo namchumisha tembele And i do for the love aaah for the love eeeh for the love For the love for the love aaah for the love aaaah Nimechoka kuwa bachela nataka diploma Unga tela mama sijui unanisoma Nitaku kiss ata ukiumwa corona Nakupeleka studio wakisema una ngoma Oooh ya ntokota tokota We nyonga nyonga na ikibilii sokota I feel kama upo kiunoni una mota Yani mambo ni moto na moto na wewe We umenichanganya changanyaaaah Changanyaaaaa changanya Haki umenibambanya bambanyaa Bambanyaaaaa bambanya Najua uchopenda mututu aaah mututu eeeeh mututu weee Nazama na miguu aaah na miguu aiiiih miguu duuh Najua unachopenda mututu aaah mututu eeeeh mututu weee Nazama na miguu aaah na miguu aiiih miguu duuh Yooo my sweet coco Unavyo washa moto Baridi kwa joto Tukeshe kama popo Basi fanya makeke mi kwako nishaa tuliza mapepe iyeee Teja na kete kwako mateka uniteke teee All i do for the love yaaa for the love eeeh for the love Zidi kung`ang`ana give that banana savana iyeeee For yor your love i go die aisee acha tu niku ng`ang`anie Sijaona pengine pakukuzidi wewe For yor your love i go die aisee acha tu niku ng`ang`anie Sijaona pengine pakukuzidi wewe Najua uchopenda mututu aaah mututu eeeeh mututu weee Nazama na miguu aaah na miguu aiiiih miguu duuh Najua unachopenda mututu aaah mututu eeeeh mututu weee Nazama na miguu aaah na miguu aiiih miguu duuh For yor your love i go die aisee acha tu niku ng`ang`anie Sijaona pengine pakukuzidi wewe For yor your love i go die aisee acha tu niku ng`ang`anie Sijaona pengine pakukuzidi wewe Najua uchopenda mututu aaah mututu eeeeh mututu weee Nazama na miguu aaah na miguu aiiiih miguu duuh Najua unachopenda mututu aaah mututu eeeeh mututu weee Nazama na miguu aaah na miguu aiiih miguu duuh
Sanatçı: Queen Blana
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:10
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Queen Blana hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı