quincy kesh missing you şarkı sözleri
Quincy Kesh
Its a brand new day wanna show you something baby
Kama kukupenda ndio kazi yangu am so ready
I fell so good today you make me happy
Yaani kila time nakuwaza mie you take my breath away
Vile unavyo songa nasmile nikifeel
We ndio yangu nyota pekee mi nachill
Haya mapenzi nahisi ni real
Mother love baby love hio ni deal
Uuyee
Am missing you
Hata kama sijakwona
Am missing you
Babe Am missing you
Hata kama sijakwona
Am missing you
Yeiyee Am missing you
You my baby
Am missing you
Am missing you
Am missing you
Am missing you
You my baby
Mtoto unapendeza hata kama sijakwona
Mi mama yako
Sura ya baba sura ya mama combination
Tena ukicheza tumboni mi napona
Furaha yangu
Ukigeukka ukisukuma satisfaction
Kila mara najiuliza nikuite nani
Moyo unasema nikuite honey
We ni wakipekee niko tayari
Kile unachotaka nisiwe mbali
Mi napenda ukinivuta vuta
Yaani nikikupaka mafuta
Minawe tupige mapicha
Tuwatese insta hadi twitter
Amissing you
Uuyee
Am missing you
Hata kama sijakwona
Am missing you
Babe Am missing you
Hata kama sijakwona
Am missing you
Yeiyee Am missing you
You my baby
Am missing you
Am missing you
Am missing you
Am missing you
You my baby