s2kizzy buguruni rozana şarkı sözleri

BUGURUNI LYRICS #INTRO Ebati ayoo Trone beat tamu Ayoo Trone Mhhh eeeh aaah eeeh, eeeh aaah eeeh Am Dj Jukk kumbe nani Dj Jukk Dj Jukk waleteee #CHORUS Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana #VERSE Ay biza amagenge Biza amagenge abadlali abafana bayifuna iphila Ay biza amagenge Biza amagenge abadlali abafana bayifuna iphila Fentsa feditse kapela eh Next time better not catch ya eh Nna ketlha pitori government Where I'm from I'm a leader better follow me If you a badie and you horny better follow me Kudcwele ingane all over #CHORUS Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana #VERSE Love bite Toto lina mwendo wa mitego eheee Zigo nyuma mudebwedo eheee Chuchu lips shedo eheee Aaaah ka mwali ki gego eheee Usiombe umkute kavesha kapanda juu ya meza (Buguruuuni) Anavyo kata bwana mambo anayaweza (Rozaaana) Anavyocheza (Buguruuuni) Anajimwaga kama pweza (Rozaaana) Uno Analielekeza (Buguruuuni) Analirudisha magereza (Rozaaana) Nyash na nyash nyash na nyashioo (Nyashioo) Miuno ya mwendo kasi na kasioo (Kasiooo) Natunza ma laki laki ma salio (Saliooo) Apeleke wapi Jamani Kinondoni? Aaah aaaahhhh #CHORUS Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana Buguruuu rozana buguruni rozana #OUTRO Zigo lina chungulia ngulia ndani ya dela Waonyeshe unalizungushaje we ubaya ubwela Linachungulia ngulia ndani ya dela Waonyeshe unalizungushaje we ubaya ubwela Zigo lina chungulia ngulia ndani ya dela Usiogope eti watakuonaje ubaya ubwela Linachungulia ngulia ndani ya dela Waonyeshe unalizungushaje we ubaya ubwela Ubaaya ubwela ubaayaa ubwela Kaa vibaya ubwela kiroho mbaya ubwela Shabash
Sanatçı: S2kizzy
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi:
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
S2kizzy hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı