saad mughairy and sir sedenga and raheem daru alhamdu lillah (feat. ruqayyah mustapha) şarkı sözleri
Alhamdulillah aaaah
Alhamdulillah aaaah
Alhamdulillah aaaah
Twakushukuru ile sana ewe mzuri Allah
Vile kwa wema tu
Sina wakumsifia zaidi yako
Eti mbegu chini ya udongo
Kisha matunda juu ni nguvu yako
Oohh Naona Naona ona
Oohh Na sana Nasema sema
Ashukuriwe Allah
Mzuri wa milele milele
Aabudiwe Allah
Kwa nukta sekunde mishale
Maana kwa uzuri wake
Hafanani na yeyote
Insha'Allah baraka zake
Zitufikie wote
Alhamdulillah aaaah
Alhamdulillah aaaah
Alhamdulillah aaaah
Twakushukuru ile sana ewe mzuri Allah
Ya latwifu lamtazal
Nakupenda sana
Najua hunikifu ewe qahari
Ndomana nakuomba sana
Utupe kama waja wema
Walopita nyuma
Peponi utuingize mapema
Please kwa yako huruma
Ashukuriwe Allah
Mzuri wa milele milele
Aabudiwe Allah
Kwa nukta sekunde mishale
Maana kwa uzuri wake
Hafanani na yeyote
Insha'Allah baraka zake
Zitufikie wote
Alhamdulillah aaaah
Alhamdulillah aaaah
Alhamdulillah aaaah
Twakushukuru ile sana ewe mzuri Allah

