saad mughairy and sir sedenga and raheem daru mazito (feat. ruqayyah mustapha) şarkı sözleri
Kweli mazito kweli
Kweli mazito kweli
Kweli mazito kweli
Kweli mazito kweli
Tumswalieni mtume
Yatutoke matatizo
Ibada swala tujitume
Iwe kwetu nguzo
Kisha tuingie kwenye kutafuta
Riziki mantasha utapata
Kikubwa usimuudhi rabbuka
Riziki yako ikakosa baraka
Jitume usafe UTAPATA PATA
Ooh ow usichoke UTAPATA PATA
Natena usichoke UTAPATA PATA
Ndo kutafuta manaake
Yatatimia timia
Mola atajaalia jalia
Kweli unaumia unaumia
Ila kesho yatatimia timia
Kweli mazito kweli
Kweli mazito kweli
Kweli mazito kweli
Kweli mazito kweli
Lilojema lolote kwa mola
Niboraa aaah aaah
Ivo riziki ziwe za halali
NdIo boraa aaah aaah
Mwanaume atafute kwa jaasho
Ndio ya moja maandiko
Manjitahhada ina mateso
Naukipata ukumbuke na kesho
Jitume usafe UTAPATA PATA
Ooh ow usichoke UTAPATA PATA
Natena usichoke UTAPATA PATA
Ndo kutafuta manaake
Yatatimia timia
Mola atajaalia jalia
Kweli unaumia unaumia
Ila kesho yatatimia timia
Kweli mazito kweli Kweli kweli
Kweli mamazito yamenitiga mimi
Kweliiiiiiii kweli kweli ooh kweli
kweli mamazito

