sabintana njoo leo (feat. tunafishtunna) şarkı sözleri

Kesho haipaswi fika Njoo kabla ya saa sita, oh! Nimekumiss, Mamacita Anza kupunguza kilometer, oh! Baby, nataka na leo Na hauwezi kuniacha leo Nitakunyosha sana hii leo Hamna kula, hamna kulala leo Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo Njoo leo Njoo leo Mina shida na leo Nshapandisha mashetani Yanataka na leo Ndo leo, ndo leo Ile siku ndo leo Na hapa nipo nduki Nitakutandika sana leo (Boom bup) Kama wataka kuja, basi njoo leo, noma Nimena, nimenasa leo Nataka mimi, njoo leo Nimeshapiga na mapombe, ohh Baby, nataka na leo Na hauwezi kuniacha leo Nitakunyosha sana hii leo Hamna kula, hamna kulala leo Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Baby njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo,Kama kweli umenimiss Basi njoo leo
Sanatçı: sabintana
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:45
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
sabintana hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı