saint stevoh come through şarkı sözleri

Nimeskia ukitajwa sana wanakuita Jehovah Shammah Bendera ya Wokovu wangu wanakuita Jehovah Nissi Nikiwa na shida na mahitaji nalilia Jehovah Jireh Amani yangu utulivu wangu nakuita Jehovah Shalom Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me) Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me) Nime kuskia kwa redio na mitaani Wanasema wafufua wafu na vipofu wanaona, At the mention of your name mapepo yanatoweka At the mention of your name viziwi wanasikia Come Through for me, Mungu wa Eliya, Isaka Ulivyofanya zamani Mungu wangu mwenye mamlaka Come Through for me Mungu wa Eliya, Isaka Ulivyofanya zamani Mungu wangu mwenye mamlaka Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me) Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Agano Usifiche uso wako mimi nitaangamia Ulisema we ni nguvu wa wanyonge Wenye haki hapo kwako ndiko wako salama, Ona mama Yule machozi machoni kila siku anakungoja Ona Baba Yule uchungu moyoni kila mara anakuita Come Through for me Mungu wa Eliya, Isaka Ulivyofanya zamani Mungu wangu mwenye mamlaka Come Through for me Mungu wa Eliya, Isaka Ulivyofanya zamani Mungu wangu mwenye mamlaka Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me) Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me) Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me) Come Through for me (Through for me, Through for me) Mungu wa Miujiza Come Through for me (Through for me, Through for me)
Sanatçı: Saint Stevoh
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:23
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Saint Stevoh hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı