saint stevoh mifupa mikavu (feat. christina shusho) şarkı sözleri

Ezekieli akiwa katika Roho Bwana akamweka chini Katika bonde nalo limejaa mifupa Kamwambia Ezekieli "Je mifupa yaweza kuishi?" Naye akajibu, "ee Bwana waijua wewe" Bwana akamwambia "tabiri juu ya mifupa hii" "Enyi mifupa, lisike neno la Bwana" Mifupa mikavu nakutabiria Kwa jina le Yesu, uwe hai tena Mifupa mikavu nakutabiria Kwa jina le Yesu, uwe hai tena Tabiri kwa upepo na mwili Roho wa Mungu aiweke dhahiri Kwa wanadamu waliona jikavu Kwa Mungu aliona jeshi moja shupavu Kuna wengi wetu tunapambana Ng'ang'a na maisha yetu ngumu zaidi ya janga But hiyo ni tu ni current condition, Position yetu in Christ, more than victorious Help thee, wealth thee and righteous Maandiko imesema si waridhi wa mfalme Hautakufa, utaishi na kusimulia wema wa Bwana Natabiri juu ya afya yako Natabiri juu ya kazi yako Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena Natabiri juu ya ndoa yako Natabiri juu ya watoto wako Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena Hautakufa, utaishi na kusimulia mema wa Bwana Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
Sanatçı: Saint Stevoh
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:57
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Saint Stevoh hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı