saisa ndabi sheriff şarkı sözleri

Sijakam na ubaya sijakam na ubaya Sijakuja na ubaya mishoni nafanya ndio napiganga vibaya Na sioni Haya wakibonga sana mi nazidi kukanyaga Cheza na pace huh cheza na pesa Wakinicheki wanajua ni kutesa Tena namash up solo bila back up Hamuezi catch up hater Ebu shut up shhh Ukiona Niko busy busy jua niko mboka Usidhani niku easy easy ngumu kuomoka Ukidai kudishi siku izi huezi bila broker Na ukilalisha mchizi jua utatokwa streets ina manyoka Kama life ni poker mi ndio joker na siezi choka Lazima wabow down kule nimetoka nyi mnakaa clowns Vile nawazoza lazima mtafrown kwa kiti yangu toka I'm the new sheriff in town vile nawazoza Lazima mtafrown jua kumethoka I'm the new sheriff in town in town My time is now my time is now lazima mtafrown Usisahau Usisahau I'm the new sheriff in town My time is now my time is now lazima mtafrown Usisahau Usisahau I'm the new sheriff in town Kama Tems try me crazy things be happening I be looking yummy sichekicheki mi napiga biz I be happy for all my Gs move in silence pang'ang'a Zii Work smart kung'ang'ana Zii Pressure Mimi sina ndio maana mi nafurahi Nashukuru Mola kuwa Mimi Niko haii Pressure Mimi sina ndio maana mi nafurahi Nashukuru Mola kuwa Mimi Niko haii Vile nawazoza lazima mtafrown jua kumethoka I'm the new sheriff in town Vile nawazoza lazima mtafrown kwa kiti yangu toka I'm the new sheriff in town in town My time is now my time is now lazima mtafrown Usisahau Usisahau I'm the new sheriff in town My time is now my time is now lazima mtafrown Usisahau Usisahau I'm the new sheriff in town
Sanatçı: Saisa Ndabi
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:35
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Saisa Ndabi hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı