saleef nilichelewa şarkı sözleri
Hallo, Hallo
Ni siku nyingi kabla sijakuona
Hallo, Hallo
Mawazo mingi, dada nakuwaza
Naona,
Ni kama hunipendi, ulivyonipenda
Machozi,
Machozi ndio nalia, nilikupoteza
Nilichelewa
Kusema nakupenda
Nilichelewa
Kusema nakutaka
Nilikuhata
Nikapata umeenda
Na sijui nifanye nini
Na sijui nifanye nini
Najua nilikukosea
Nilidhani ungeningojea, mi
Vile ulido si fair,
Vile ulido si poa, mami
Time ilikuwa mbaya
Couldn't get you close to me
Halafu tukaona haya,
Hatukusema venye tulifeel for real
(For real)
Nilichelewa
Kusema nakupenda
Nilichelewa
Kusema nakutaka
Nilikuhata
Nikapata umeenda
Na sijui nifanye nini
Na sijui nifanye nini
Najua ni Maisha
Inatubeba hivi
Si mind kama huko hapa
Nitaenda basi
Lakini naamini
Kuna siku tutakuwa Pamoja
Eey
Nilichelewa
Kusema nakupenda
Nilichelewa
Kusema nakutaka
Nilikuhata
Nikapata umeenda
Na sijui nifanye nini
Na sijui nifanye nini

