t sigwa pesa kibindoni şarkı sözleri

Kwenye show ukizingua unatupiwa makopo Narudishaga picha nyuma studio kwa Ngoko Maisha kujituma Kuwa mtumwa ni utoto Nilishatumwaga vingi mademu na misokoto Nimezaliwa kwenye upepo na naipeperusha bendela Changamoto Tajiri anachanga Ma hela Tangu mtoto Maisha Yangu hayakuwaga simple Sikuwa na demu kisa gari Nilikuwaga single Msosi mmoko per day Sina afadhali Leo kwenye line wanangu mnadhani simple Wanangu tupambane, Mapenzi bila money Dj anataka money ndo pini yangu anigongee We do it for the Money Chana nikuchane Weka mkwanja mezani ndio Maisha yaendele Iwe kwa pochi hama kiganjani Noti za kibindoni Kiki Ni Gigy Money "Aaaaheeee!" Watu wanauza roho pesa ndio ainaga imani "Aaaaaheee!" Watu wanauza roho kwa pesa za kibindoni "Aaaaaheeee!" Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Mapenzi king'amuzi Bila mtonyo huoni channel Utaitwa buzi, na utapewa sifa chakali Mapenzi kupeana uwezi pewa bila salari Ubinaadam kazi ndio maana usiku hatulali Maisha yakibishiKama sitaki sitaki Ni sawa kumuhonga demu then chako aupati Watu wamekata ringi kwenye kusaka door We unataka league si tuna make door Nimeshakuwa mafia master, ninja Imani flani za kirasta, Nala mavi ya Ninja Kina kirefu Mi nazama mpaka uvinza Usishangae nikifa manzese arafu nizikwe Sinza We do it for the Money Chana nikuchane Weka mkwanja Mezani ndio Maisha Yaendele Iwe kwa Pochi ama kiganjani Noti za kibindoni Kiku ni Gigy Money "Aaaheeee!" Watu wanauza roho "Aaaaaheeee!" kwa pesa za kibindoni "Ahahaaahee!" Watu wanauza roho "Aaaahee" Pesa Ndio aina Imani Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Pesa kwenye Kibindo "Jiiiiyaaaaa" Oya wanangu wa boda boda Mazimbu mpaka masaki Una onga Buku na Buku ingekuwaga Laki Tunang'ang'ana kwa Game kiroho Safi Na ikinyesha mvua, Ndio uni ulize unakwama wapi? Kwenye show ukizingua unatupiwa makopo Narudishaga picha nyuma studio kwa Ngoko Maisha kujituma Kuwa mtumwa Ni utoto Nishatumwaga vingi, mademu na misokoto
Sanatçı: T Sigwa
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:50
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
T Sigwa hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı