taariq maddox mama yangu ndio baba şarkı sözleri

Ameamka asubuhi nguo kanivalisha Vijisenti vya jana alivyochanga vya vikoba Nauli ndo kanipa "Baba ameenda kazini leo tena haumuoni" Heri abebe nawe mpende Mjaze na faraja uso Mimi mwanae anipa funzo Ili niwe mpenzi wako Nampenda mfano hana mungu baba mbariki Mama yangu ndiye nguzo aliye na thamani Baba kaingia mitini mimi nimekosa nafasi Mama yangu ndio baba kwangu mimi Nakuomba Mama anasema "Ameondoka nyumbani mapema" Unawaza baba harudi kazini nawe umuone Ila mama anasema "Baba yako hutamuona Siku saba hapa nyumbani hayupo" Ila ndani analalama mtoto, matunzo Vyake vilio usikie Heri abebe nawe mpende Mjaze na faraja uso Mimi mwanae anipa funzo Ili niwe mpenzi wako Nampenda mfano hana mungu baba mbariki Mama yangu ndiye nguzo aliye na thamani Baba kaingia mitini mimi nimekosa nafasi Mama yangu ndio baba kwangu mimi Nakuomba Mungu Heri abebe nawe mpende Mjaze na faraja uso Mimi mwanae anipa funzo Ili niwe mpenzi wako Nampenda mfano hana mungu baba mbariki Mama yangu ndiye nguzo aliye na thamani Baba kaingia mitini mimi nimekosa nafasi Mama yangu ndio baba kwangu mimi Nakuomba
Sanatçı: Taariq Maddox
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:20
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Taariq Maddox hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı