taariq maddox naenda şarkı sözleri
Naenda
Naenda
Naenda
Naenda
Naenda
Naenda
Naenda
Nami naenda
Nafunga virago
Naondoka
Nimechoshwa na mambo
Nimeshituka
Ningesepa kitambo
Ulikoenda
Baki minaenda
Nami naenda
Naenda kwake yeye
Na penzi lako jipya uendelee
Vidonda moyoni
Sababu ni wewe tahira
Hujafunzwa we na wazee
Nami naenda
Naenda kwake yeye
Ataenipa penzi nami nimpende
Na kama moyo umependa nisipopendwa
Kwanini nisi nisiende nisiende kwake yeye
Una huzuni?
Matendo yako hukutambua yangu thamani
Watamani
Nirudi kuwa kama punda wako bandani
Na kama pesa nazo nizitafute
Mapenzi si vita mabomu utupe
Mambo ya kukwazana mpelekee ajute
Huna jema kwako
Pita nipite baba
Nami naenda
Naananana nami ninaenda baba
Nami naenda
Aaaaaa
Nami naenda
Naenda kwake yeye
Na penzi lako jipya uendelee
Vidonda moyoni
Sababu ni wewe tahira
Hujafunzwa we na wazee
Nami naenda
Naenda kwake yeye
Ataenipa penzi nami nimpende
Na kama moyo umependa nisipopendwa
Kwanini nisi nisiende nisiende kwake yeye
Nami naenda
Naananana nami ninaenda baba
Nami naenda
Aaaaaa
Nami naenda
Naenda kwake ye
Na penzi lako jipya uendelee
Vidonda moyoni
Sababu ni wewe tahira
Hujafunzwa we na wazee

