taariq maddox sema şarkı sözleri

Kama unaona si sahihi Sema si nami nitatii But i know shida sio mi Kuna lako jambo huniambii Kwani bado nima enemies You holding on holding endlessly But hear me kwanza Vituko vitimbi havisaidii Nitajuaje sioti mpaka uniambie Umenichoka usipretend ya kwamba siumii Na kama penzi limeshaisha Hate a little more of me Kama kuna kosa nimefanya baba sema Kipi upatacho kwakwe kwangu hujakiona I'm drowning in your love in your water In your love in your water Kina chako nikirefu mi nazama Kama kosa nimefanya uniambie So i know Kuliko hivyo vinyago univalie Because im drowning in your love In your water I need your love ohh Come on hear my pain Vituko vituko kama siumii Kwa nini husemi why Ni vituko vituko kama siumii Kama huko kwake ndo unaenda uniambie Si vituko kama siumii Kama unamfata useme nivumilie Vituko hivii Nitajuaje sioti mpaka uniambie Umenichoka usipretend ya kwamba siumii Na kama penzi limeshaisha Hate a little more of me Kama kuna kosa nimefanya baba sema Kipi upatacho kwakwe kwangu hujakiona I'm drowning in your love in your water In your love in your water Kina chako nikirefu mi nazama Kama kosa nimefanya uniambie So i know Kuliko hivyo vinyago univalie Because im drowning in your love In your water I need your love ohh
Sanatçı: Taariq Maddox
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:15
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Taariq Maddox hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı